SIMBA SC YAPANGWA NA RAJA, HOROYA NA VIPERS YA UGANDA


TIMU ya Simba SC ya Tanzania imepangwa Kundi C pamoja na Raja Casablanca ya Morocco, Horoya ya Guinea na Vipers ya Uganda katika Hatua ya 16 Bora ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Kundi A kuna mabingwa watetezi, Wydad Athletic ya Morocco, Petro Atletico ya Angola, AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
Kundi B kuna Al Ahly ya Misri, Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini, El Hilal ya Sudan na Cotón Sport ya Cameroon, wakati Kundi D zipo Esperance ya Tunisia, Zamalek ya Misri, CR Belouizdad ya Algeria na El Merreikh ya Sudan.


Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE

KYLLIAN MBAPPE NDIYE MFALME MPYA WA MABAO HISPANIA

PEDRO AIPOKONYA TONGE MDOMONI INTER MILAN, 2-2 NA LAZIO