MTENDAJI MKUU SIMBA AKUTANA NA MABOSI WA MAMELODI AFRIKA KUSINI


MTENDAJI Mkuu wa Simba SC, Imani Kajula akiwa na Mkurugenzi wa Ufundi wa Mamelodi Sundowns, Flemming Berg wiki hii Jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini alipofanya ziara kwenye klabu hiyo. 


Imani Kajula pia alikutana na Mwenyekiti wa Mamelodi Sundowns, Tihopie Motsepe katika ziara yake hiyo na kufanya naye mazungumzo 


Imani Kajula pia alikutana na Mkuu wa Mashindano, Stanley Mabulu na kufanya naye mazungumzo 


Comments

Popular posts from this blog

NYOTA WA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINALI KOMBE LA CAF 1993, DAMIAN KIMTI AFARIKI DUNIA