TFF YASHUTUSHWA NA TUHUMA ZA RUSHWA LIGI YA CHAMPIONSHIP


SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesema kwamba linafuatilia kwa karibu tuhuma za rushwa katika mchezo wa Ligi ya Championship baina ya Fountain Gate na Kitayosce uliofanyika jana Uwanja wa CCM Gairo mkoani Morogoro na kumalizika kwa sare ya bila mabao.




Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE