KALI ONGALA NAYE AONYESHWA MLANGO WA KUTOKEA AZAM FC


KLABU ya Azam FC imeachanana aliyekuwakupiga panga wachezaji na leo imehamia kwa wachezaji wazawa, ikitangaza kuwaacha Ismail Aziz Kader na Cleophace Mkandala.
Kaimu kocha wake Mkuu, Muingereza mwenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Kalimangonga Ongala.
Ongala anakuwa kocha wa tatu kuondolewa kazini baada ya Kocha wa makipa Mspaniola Dani Cadena na kocha wa Fiziki, Mtunisia Dk. Moadh Hiraoui.
Makocha hao wanaondoka kupisha wasaidizi wapya watakaoletwa na kocha mpya, Msenegal Youssouph Dabo ambaye ataanza kukiandaa kikosi kwa ajili ya msimu ujao.
Tayari Azam FC imeachana na wachezaji watano, ambao ni beki Mzimbabwe Bruce Kangwa, kiungo Mkenya, Kenneth Muguna na mshambuliaji Mzambia, Rodgers Kola na wazawa Ismail Aziz na Cleophace Mkandala.


Comments

Popular posts from this blog

NI YANGA BINGWA KOMBE LA MUUNGANO 2025

SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE