MAKOCHA WA FIZIKI KUTOKA SAUZI NAO WATUPIWA VIRAGO SIMBA SC


KLABU ya Simba imeachana na makocha wake wa Fiziki, Kelvin Mandla Ndlomo na 
Fareed Cassiem wote raia wa Afrika Kusini baada ya msimu mmoja wa kuwa kazini.
Kelvin Mandla Ndlomo na Fareed Cassiem wanakuwa mtu wa pili wa benchi la Ufundi kuondolewa kazini baada ya kocha wa makipa, Mmorocco, Zakaria Chlouha kufuatia timu kumaliza msimu bila taji.


Comments

Popular posts from this blog

NYOTA WA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINALI KOMBE LA CAF 1993, DAMIAN KIMTI AFARIKI DUNIA

NYOTA WA SIMBA SC ILIYOFIKA NUSU FAINALI KLABU BINGWA AFRIKA, ABBAS DILUBGA AFARIKI DUNIA