AZAM FC YACHAPWA 3-0 NA ESPERANCE MECHI YA KIRAFIKI LEO TUNISIA


TIMU ya Azam FC imechapwa Mabao 3-0 na wenyeji, Esperance katika mchezo wa kirafiki leo kwenye kambi yao ya kujiandaa na msimu mpya nchini Tunisia.
Mechi ya kwanza ya kujipima nguvu Ijumaa iliyopita, Azam FC iliibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Al Hilal ya Sudan Jijini Tunis.


Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE