KOCHA MPYA YANGA AJITOKEZA KWENYE KUCHANGIA DAMU MLOGANZILA


RAIS wa Yanga SC, Hersi Ally Said (kushoto) na Kocha Mkuu, Muargentina Miguel Angel Gamondi wamewatembelea wapenzi wa klabu hiyo waliojitokeza kuchangia damu katika hospitali ya Mloganzila Jijini Dar es Salaam kuelekea kilele cha Wiki ya Mwananchi Jumamosi.


Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE