RAIS SAMIA AZINDUA JEZI MPYA ZA YANGA LEO MALAWI


KLABU ya Yanga leo imezindua jezi zake rasmi za msimu wa 2023-24 Jijini Lilongwe kwa kuwakabidhi Rais wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan na mwenyeji wake, Rais wa Malawi Dk. Lazarus McCarthy Chakwera. 
Yanga ipo Malawi kwa ajili ya mchezo wa kirafiki na wenyeji, Nyasa Big Bullets kesho Uwanja wa Bingu Mutharika Jijini Lilongwe kuazimisha miaka 59 ya Uhuru wa nchi hiyo.


Comments

Popular posts from this blog

NYOTA WA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINALI KOMBE LA CAF 1993, DAMIAN KIMTI AFARIKI DUNIA