MAN CITY YAWACHAPA NEWCASTLE UNITED 1-0 ETIHAD


BAO pekee la Julian Alvarez dakika ya 31 jana lilitosha kuipa Manchester City ushindi wa 1-0 dhidi ya Newcastle United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad Jijini Manchester.
Ni ushindi wa pili mfululizo kwa mabingwa hao watetezi, baada ya ushindi wa 3-0 ugenini dhidi ya Burnley, wakati Newcastle inapoteza mchezo wa kwanza kufuatia kuanza na ushindi wa 5-1 dhidi ya Aston Villa.



Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE

KYLLIAN MBAPPE NDIYE MFALME MPYA WA MABAO HISPANIA

PEDRO AIPOKONYA TONGE MDOMONI INTER MILAN, 2-2 NA LAZIO