SIMBA SC YASAJILI KIPA KUTOKA MOROCCO


KLABU ya Simba SC imemtambulisha kipa Mmorocco, Ayoub Lakred kuwa mchezaji wake mpya baada ya kuachana na Mbrazil, Jefferson Luis Szerban de Oliveira Junior.
Sasa Simba inakuwa na makipa wanne, mbali na Lakred wengine ni Aishi Salum, Ally Salum na Ally Ferouz.


Comments

Popular posts from this blog

NYOTA WA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINALI KOMBE LA CAF 1993, DAMIAN KIMTI AFARIKI DUNIA