TWIGA STARS YAIFUATA IVORY COAST MECHI YA KUFUZU WAFCON


KIKOSI cha timu ya taifa ya wanawake, Twiga Stars kimeondoka leo kwenda Ivory Coast kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa Raundi ya kwanza kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (WAFCON) dhidi ya wenyeji Ijumaa.


Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE