MASHABIKI SIMBA WALIVYOJITOKEZA KUPOKEA KOMBE LA MUUNGANO


MASHABIKI wa Simba SC waliojitokeza kuwapokea wachezaji wao baada ya kurejea kutoka Zanzíbar ambako jana walitwaa Kombe la Muungano kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Azam FC Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzíbar.
GONGA KUTAZAMA PICHA ZAIDI




Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE