CSKA MOSCOW WATUA YANGA KWA ZOEZI MAALUM

 

KLABU ya Yanga leo imepokea ugeni wa Maafisa wa klabu ya CSKA Moscow ya Urusi ambao wamekuja kuendesha programu maalumu ya kutambua vipaji vya wanasoka chipukizi nchini.
Programu hii itaendeshwa na CSKA Moscow kwa kushirikiana na Young Africans Sports Club, itaanza kesho na itafanyika Dar Es Salaam, Tanga na Zanzibar.
Baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Maafisa hao walikutana na uongozi wa Yanga chini ya Rais, Hersi Ally Said.
GONGA KUTAZAMA PICHA ZAIDI


Comments

Popular posts from this blog

NYOTA WA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINALI KOMBE LA CAF 1993, DAMIAN KIMTI AFARIKI DUNIA

NYOTA WA SIMBA SC ILIYOFIKA NUSU FAINALI KLABU BINGWA AFRIKA, ABBAS DILUBGA AFARIKI DUNIA