KIKOSI CHA MZIZIMA UNITED 1965 ENZI ZA TAIFA CUP


KIKOSI cha timu ya soka ya Kombaini ya Mkoa wa Dar es Salaam ‘Mzizima United’ kabla ya moja ya mechi zake za Kombe la Taifa mwaka 1965, michuano ambayo awali ilikuwa inajulikana kama Sunlight Cup.
Kutoka kulia waliosimama ni; marehemu Athuman Kilambo (Yanga), marehemu Mussa Libabu (Sunderland/Simba), Mustafa Choteka (Sunderland/Simba), marehemu Abdulrahman Lukongo (Yanga/Cosmo) Gilbert Mahinya (Sunderland/Simba/Yanga), marehemu Ally Kajo (Sunderland/Simba).
Waliochuchumaa kutoka kulia ni Hamisi Kilomoni (Sunderland/Simba), marehemu Badi Saleh (Yanga), marehemu Mohammed Msomali (Yanga/Cosmo), marehemu Maulid Dilunga (Yanga), marehemu Mbaraka Salum Magembe (Sunderland/Simba), Kitwana Manara (Cosmo/Yanga) na marehemu Abdallah Aziz (JWTZ).


Comments

Popular posts from this blog

NYOTA WA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINALI KOMBE LA CAF 1993, DAMIAN KIMTI AFARIKI DUNIA

NYOTA WA SIMBA SC ILIYOFIKA NUSU FAINALI KLABU BINGWA AFRIKA, ABBAS DILUBGA AFARIKI DUNIA