MTAALAMU SAIDO NTIBANZOKIZA AHITIMISHA UTUMISHI WAKE SIMBA SC


KIUNGO wa Kimataifa wa Burundi, Saido Ntibanzikoza (40) amekuwa mchezaji wa pili kuachwa Simba SC baada ya msimu mmoja na nusu wa kuitumikia timu kwa mafanikio.
Ntibanzokiza alijiunga na Simba Januari mwaka jana akitokea Geita Gold kwa misimu yote miwili amekuwa mfungaji bora wa timu.
Mchezaji wa kwanza kuachwa Simba ni Nahodha wa timu kwa mafanikio kwa misimu kadhaa, John Raphael Bocco (34) aliyejiunga na timu hiyo mwaka 2017 akitokea Azam FC.




Comments

Popular posts from this blog

NYOTA WA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINALI KOMBE LA CAF 1993, DAMIAN KIMTI AFARIKI DUNIA

NYOTA WA SIMBA SC ILIYOFIKA NUSU FAINALI KLABU BINGWA AFRIKA, ABBAS DILUBGA AFARIKI DUNIA