SHIME AITA 20 TWIGA STARS YA KUCHEZA NA TUNISIA YANGA PRINCESS HAKUNA HATA MMOJA


KOCHA Bakari Nyundo Shime ameita wachezaji 20 kuunda kikosi cha timu ya Taifa ya wanawake, Twiga Stars kwa ajili ya michezo miwili ya kirafiki dhidi ya Tunisia na Botswana mapema mwezi ujao.
Katika kikosi hicho kitakachoingia kambini Julai 1 hakuna hata mchezaji mmoja wa Yanga Princess, huku mabingwa Simba Queens wakiwa na wachezaji wawili pekee.
JKT Queens imeendelea kuwa klabu yenye wachezaji wengi zaidi Twiga Stars, saba huku wengine wakitoka Alliance Girls, Bunda Queens na Amani Queens mmoja kila timu, wakati wengine ni wanaocheza klabu mbalimbali nje ya Tanzania.



Comments

Popular posts from this blog

NYOTA WA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINALI KOMBE LA CAF 1993, DAMIAN KIMTI AFARIKI DUNIA

NYOTA WA SIMBA SC ILIYOFIKA NUSU FAINALI KLABU BINGWA AFRIKA, ABBAS DILUBGA AFARIKI DUNIA