USAJILI MSIMU MPYA DIRISHA WAZI KUANZIA KESHO

DIRISHA la usajili msimu mpya wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2024-25 na madaraja ya chini pamoja na Ligi za Wanawake litafunguliwa rasmi kesho.


Mshambuliaji Mzimbabwe ambaye ameondoka Azam FC anahusishwa na vigogo wote wawili, Simba na Yanga - je, ataubukia wapi?


Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE