YANGA SC YASHINDA 4-1 NA KUTWAAA KOMBE LA SAFARI LAGER


MABINGWA wa Tanzania, Yanga SC jana walifanikiwa kutwaa taji la Safari Lager Cup baada 
ya ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Kombaini ya Safari Champions katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. 
Katika mchezo huo ambao Yanga ilitumia wachezaji wake wa timu ya vijana na wachache wa kikkosi cha kwanza akiwemo beki Mkongo, Joyce Lomalisa Mutambala - mabao yake yalifungwa na Omary Mfaume, Shekhan, Prosper na Hussein.


Comments

Popular posts from this blog

NYOTA WA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINALI KOMBE LA CAF 1993, DAMIAN KIMTI AFARIKI DUNIA

NYOTA WA SIMBA SC ILIYOFIKA NUSU FAINALI KLABU BINGWA AFRIKA, ABBAS DILUBGA AFARIKI DUNIA