AZİZ ANDAMBWILE MWAMBALASWA NI MCHEZAJI MPYA WA YANGA


KLABU ya Yanga imemtambulisha Aziz Andambwile Mwambalaswa (24) kutoka Singida Big Stars kuwa mchezaji wake mpya wa tano kuelekea msimu ujao.
Wachezaji wengine wapya Yanga ni kipa Aboubakar Khomeini kutoka Singida Black Stars, zamani Ihefu SC, beki wa kushoto, Chadrack Issaka Boka (24) kutoka St Eloi Lupopo ya kwao, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), kiungo Mzambia, Clatous Chota Chama kutoka Simba na mshambuliaji Mzimbabwe, Prince Dube Mpumelelo kutoka Azam FC.



Comments

Popular posts from this blog

NYOTA WA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINALI KOMBE LA CAF 1993, DAMIAN KIMTI AFARIKI DUNIA

NI YANGA BINGWA KOMBE LA MUUNGANO 2025