HIZI HAPA JEZI ZA MSIMU MPYA SIMBA ZIMEZINDULIWA MIKUMI


KLABU ya Simba imezindua jezi za msimu mpya wa 2024-25, shughuli ambayo imefanyika Hifadhi ya Mikumi mkoani Morogoro ambako mamia ya mashabiki wa timu hiyo walisafiri kwa Treni ya mwendo kasi, SGR kutoka Dar es Salaam kwenda kushuhudia.
GONGA KUTAZAMA PICHA ZAIDI 


Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE