SIMBA SC YASAJILI KIUNGO MUIVORY COAST ‘DOGO’ WA MIAKA 22 TU


KLABU ya Simba imeendelea kujiimarisha kuelekea msimu ujao baada ya kumtambulisha kiungo mshambuliaji Muivory Coast, Jean Charles Ahoua (22) kutoka Stella Club d'Adjamé ya kwao, Abidjan.
Huyo anakuwa mchezaji wa nne mpya baada ya beki mzawa, Lameck Elias Lawi (18) kutoka Coastal Union, winga Mzambia, Joshua Mutale (22) kutoka Power Dynamos ya Zambia na mshambuliaji, na mshambuliaji Mganda, Steven Mukwala (24) kutoka Asante Kotoko ya Ghana.


Comments

Popular posts from this blog

NYOTA WA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINALI KOMBE LA CAF 1993, DAMIAN KIMTI AFARIKI DUNIA

NYOTA WA SIMBA SC ILIYOFIKA NUSU FAINALI KLABU BINGWA AFRIKA, ABBAS DILUBGA AFARIKI DUNIA