WAWILI WANAOCHEZA ULAYA WAONGEZWA TWIGA STARS KUIVAA TUNISIA



KOCHA wa timu ya soka ya taifa ya wanawake, Twiga Stars, Bakari Nyundo Shime ameongeza wachezaji wawili kikosini kuelekea michezo miwili ya kirafiki ya Kimataifa mwishoni mwa wiki hii.
Hao ni Malaika Meena (pichani juu) wa klabu ya Wake Forest University ya Uingereza na Victoria Maselle (pichani chini) wa Nasa TopHat Soccer Academy ya Georgia ambao wataungana na wenzao wengine 20 wanaoingia kambini leo kujiandaa na michezo ya kirafiki dhidi ya Tunisia na Botswana. 


Comments

Popular posts from this blog

NYOTA WA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINALI KOMBE LA CAF 1993, DAMIAN KIMTI AFARIKI DUNIA

NYOTA WA SIMBA SC ILIYOFIKA NUSU FAINALI KLABU BINGWA AFRIKA, ABBAS DILUBGA AFARIKI DUNIA