ADOLF MTASINGWA BITEGEKO ASAINI MKATABA MPYA AZAM FC HADI 2027


KIUNGO Adolf Mtasingwa Bitegeko (24) amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea na majukumu Azam FC hadi mwaka 2027.
Adolf ni miongoni wachezaji waliopikwa katika akademi ya Azam FC, kabla ya mwaka Machi 2019 kwenda Icenald kujiunga na 
KR Reykjavík hadi mwaka Oktoba mwaka huo akaenda Keflavík, Juni 1, 2020 akarejea KR Reykjavík, kabla ya kujiunga na Völsungur ÍF Februari mwaka 2021 ambako alipiga kazi hdi Janauri mwaka huu akarejea Azam FC. 



Comments

Popular posts from this blog

NYOTA WA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINALI KOMBE LA CAF 1993, DAMIAN KIMTI AFARIKI DUNIA