AZAM FC YAAJIRI KOCHA MPYA KUTOKA EL MAREEIKH YA SUDAN


KLABU ya Azam FC imezidi kujiimarisha kwa kuajili kocha mpya wa mazoezi ya utimamu wa mwili, urshid Ally Kika kutoka El Merreikh ya Sudan kwa mkataba wa miaka miwili, ambaye atakuwa Msaidizi wa Physio wa sasa, Mfaransa Jean-Laurent Geronimi.


Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE