KMC YAAMBULIA SARE KWA COASTAL UNION, 1-1 MWENGE


WENYEJI, KMC wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni (KMC), MWENGE Jijini Dar es Salaam.
Katika mchezo huo wa kwanza wa msimu kwa timu zote, KMC walikuwa wa kwanza kupata bao kupitia kwa kiungo wa Kimataifa wa Somalia, Ibrahim Elias dakika ya 32, kabla ya mshambuliaji Maabad Maulid kuisawazishia Coastal Union dakika ya 85 kwa penaltı.


Comments

Popular posts from this blog

NYOTA WA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINALI KOMBE LA CAF 1993, DAMIAN KIMTI AFARIKI DUNIA