MASHUJAA YAAMBULIA SULUHU KWA TZ PRISONS LAKE TANGANYIKA


WENYEJI, Mashujaa FC wamelazimishwa sare ya bila mabao na jirani zao, Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.
Kwa matokeo hayo, Mashujaa inafikisha pointi nne baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Dodoma Jiji kweye mchezo wa kwanza, wakati Tanzania Prisons wanaokota pointi ya pili wakitoka kutoa sare nyingine ya bila mabao na Pamba Jiji Mwanza.


Comments

Popular posts from this blog

NYOTA WA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINALI KOMBE LA CAF 1993, DAMIAN KIMTI AFARIKI DUNIA