PAMBA FC WAAMBULIA SULUHU KWA PRISONS UFUNGUZI LİGİ KUU


WENYEJI, Pamba Jiji FC wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Tanzania Prisons katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.


Comments

Popular posts from this blog

NYOTA WA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINALI KOMBE LA CAF 1993, DAMIAN KIMTI AFARIKI DUNIA