RAIS SAMIA AONGEA NA WADAU WAWILI WAKUBWA NCHINI WAZIFADHILI SIMBA NA YANGA

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amesema kwamba amezungumza na wadau wawili wakubwa nchini ili wazisaidie kiuchumi klabu za Simba na Yanga.
Rais amesema hayo mapema leo wakati akiweka jiwe la Msingi wa ujenzi wa kituo cha Suluhu Sports Academy, Mkunguni – Kizimkazi, Zanzibar na kusema ujenzi wa kituo hicho utakaokamilika Aprili mwakani utasaidia kuzalisha vipaji zaidi vya vijana.


Comments

Popular posts from this blog

NYOTA WA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINALI KOMBE LA CAF 1993, DAMIAN KIMTI AFARIKI DUNIA