SOMOE NG’ITU ACHUKUA FOMU KUWANIA UENYEKITI TWFA


KATIBU Mkuu wa  Chama cha Soka ya Wanawake Tanzania (TWFA), Somoe Ng’itu leo amechukua fomu za kuwania Uenyekiti wa Chama hicho katika uchaguzi utakaofanyika Septemba 14, mwaka huu mkoani Kilimanjaro. 


Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE