KAGERA SUGAR YAPATA POINTI YA KWANZA MECHI YA NNE LIGI KUU


WENYEJI, Kagera Sugar wamefikisha mechi nne bila ushindi baada ya leo kuokota pointi ya kwanza kufuatia sare ya bila mabao na JKT Tanzania Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.
Mechi tafu za mwanzo Kagera Sugar ilifungwa 1-0 na Singida Black Stars, 2-0 na Yanga na 1-0 na Tabora United, wakati JKT Tanzania nayo imetoa sare ya pili mfululizo leo katika mechi zake mbili hadi sasa kufuatia sare ya 0-0 na Azam katika mchezo wa kwanza.


Comments

Popular posts from this blog

NYOTA WA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINALI KOMBE LA CAF 1993, DAMIAN KIMTI AFARIKI DUNIA