KMC YAICHAPA KEN GOLD 1-0 BAO LA REDEMTUS MUSSA


WENYEJI, KMC wameibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Ken Gold ya Mbeya katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, KMC Complex, Mwenge Jijini Dar es Salaam.
Pongezi kwa mfungaji wa bao hilo pekee Redemtus Mussa kwa shuti la mpira wa adhabu dakika ya 14 na kwa ushindi huo, KMC inafikisha pointi nne katika mchezo wa tatu, wakati Ken Gold inapoteza mechi ya tatu mfululizo kati ya tatu za mwanzo wa msimu ilizocheza.


Comments

Popular posts from this blog

NYOTA WA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINALI KOMBE LA CAF 1993, DAMIAN KIMTI AFARIKI DUNIA