MECHI YA MARUDIANO YANGA NA CBE KUCHEZWA PEMBA


MCHEZO wa marudiano Hatua ya 32 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika baina ya Yanga na timu ya Benki ya Biashara Ethiopia, CBE SA (Commercial Bank of Ethiopia Sports Association) utafanyika Uwanja wa Gombani, Pemba Jumamosi ya Septemba 21.
Ikumbukwe timu hizo zitamenyana kesho katika mchezo wa kwanza Uwanja wa Abebe Bikila Jijini Addis Ababa na mshindi wa jumla atakwenda Hatua ya 16 Bora inayochezwa kwa mtindo wa makundi.


Comments

Popular posts from this blog

NYOTA WA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINALI KOMBE LA CAF 1993, DAMIAN KIMTI AFARIKI DUNIA