SERENGETI GIRLS WATWAA UBINGWA UNAF BAADA YA SARE NA TUNISIA



TIMU ya taifa ya wasichana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Girls imefanikiwa kutwaa ubingwa wa michuano ya Kaskazini mwa Afrika (UNAF) licha ya sare ya bila kufungana na wenyeji, Tunisia leo Uwanja wa Ariana.
Serengeti Girls wanatwaa taji hilo kufuatia kumaliza mechi zake tatu bila kupoteza, mbili za awali wakishinda 4-1 dhidi ya Misri na 5-3 dhidi ya Morocco hapo hapo Uwanja wa Ariana.


Comments

Popular posts from this blog

NYOTA WA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINALI KOMBE LA CAF 1993, DAMIAN KIMTI AFARIKI DUNIA