SIMBA SC YASITISHA MKATABA NA CEO MNYARWANDA, MWANAMAMA ZUBEDA ACHUKUA NAFASI
KLABU ya Simba imesitisha mkataba na Mtendaji wake Mkuu, Mnyarwanda Francois Regis kwa maridhiano ya pande zote mbili kutokana na kile kilichoelezwa, sababu zilizo nje ya uwezo wao.
Simba imesema kwamba nafasi ya Utendaji Mkuu wa klabu yake kwa sasa atakaimu mwanamama Zubeda Hassan Sakuru.
Simba imesema kwamba nafasi ya Utendaji Mkuu wa klabu yake kwa sasa atakaimu mwanamama Zubeda Hassan Sakuru.
Comments
Post a Comment