TWIGA STARS YAPANGWA NA MABINGWA WATETEZI BANYANA WAFCON 2205


TANZANIA imepangwa Kundi C pamoja na mabingwa watetezi, Afrika Kusini, Ghana na Mali katika Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (WAFCON) zinazotarajiwa kufanyika kuanzia Julai 5 hadi 26, mwaka 2025 nchini Morocco.
Katika droo iliyopangwa jana ukumbi wa Mohammed VI Technical Centre mjini SalĂ©, Morocco Kundi A linaundwa na wenyeji, Morocco, Zambia, Senegal na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), wakati Kundi B linaundwa na Nigeria, Tunisia, Algeria na Botswana.




Comments

Popular posts from this blog

NYOTA WA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINALI KOMBE LA CAF 1993, DAMIAN KIMTI AFARIKI DUNIA

NI YANGA BINGWA KOMBE LA MUUNGANO 2025