AZAM FC YAMSAJILI CHIPUKIZI 'FUNDI WA MPIRA' ZIDANE SERERI


KLABU ya Azam FC imemtambulisha kiungo mshambuliaji, Zidane Sereri (19) kutoka Dodoma Jiji kuwa mchezaji wake mpya kwa mkataba wa miaka mitano utakaodumu hadi mwaka 2030.
Huyo anakuwa mchezaji wa pili kusajiliwa Azam FC dirisha hili dogo baada ya beki Zouzou Landry kutoka AFAD Djekanou ya kwao, Ivory Coast.
Zouzou Landry, mwenye umri wa miaka 23 tu, anayecheza nafasi za beki wa kushoto na wa kati — amesaini mkataba wa miaka minne, utakaodumu hadi mwaka 2028. 


Comments

Popular posts from this blog

NYOTA WA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINALI KOMBE LA CAF 1993, DAMIAN KIMTI AFARIKI DUNIA