LIGI YASIMAMA HADI MACHI KUPISHA MICHUANO YA CHAN NA KOMBE LA MAPINDUZI

Ligi Kuu inasimama Simba SC ikiwa kileleni kwa pointi moja zaidi ya mabingwa watetezi, Yanga baada ya timu zote kucheza mechi 15.

BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imesema kwamba Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara inasimama baada ya mechi za Desemba 29, 2024 kupisha Fainali za michuano ya Ubingwa wa Mataifa wa Afrika (CHAN) ambazo Tanzania itakuwa mwenyeji kwa kushirikiana na Kenya na Uganda.
Taarifa ya Bodi ya Ligi jana imesema kwamba kabla ya CHAN michuano ya Kombe la Mapinduzi itaanza Januari 3, 2025 Zanzibar, hivyo Ligi Kuu itasimama hadi Machi Mosi mwaka 2025 itakaporejea na itahakikisha inafikia tamati ndani ya muda wa Kalenda ya msimu.


#   Team P W D L F A D P Last 5 matches H2H
1 15 13 1 1 31 5 +26 40 WWWWW
2 15 13 0 2 32 6 +26 39 WWWWW
3 16 11 3 2 25 8 +17 36 WWLWW
4 16 10 3 3 22 11 +11 33 LWWWL
5 15 7 4 4 19 19 +0 25 DWWDW
6 16 6 2 8 24 32 -8 20 LLLWL
7 16 4 7 5 14 14 +0 19 LLDDD
8 16 4 7 5 10 12 -2 19 LLDDD
9 Previous rank: 12 16 5 4 7 16 21 -5 19 WLLLW
10 Previous rank: 9 16 5 4 7 11 21 -10 19 DWDLL
11 Previous rank: 10 16 4 6 6 16 17 -1 18 DDLWD
12 Previous rank: 11 16 5 2 9 11 19 -8 17 WDWDL
13 16 3 5 8 7 17 -10 14 WLLDL
14 16 2 6 8 7 16 -9 12 LLDWL
15 15 2 5 8 10 19 -9 11 LDDDL
16 16 1 3 12 11 29 -18 6


Comments

Popular posts from this blog

NYOTA WA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINALI KOMBE LA CAF 1993, DAMIAN KIMTI AFARIKI DUNIA