NI ZANZIBAR HEROES BINGWA KOMBE LA MAPINDUZI


WENYEJI, Zanzibar wamefanikiwa kutwa Kombe la Mapinduzi ya Zanzibar baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Burkina Faso usiku wa leo Uwanja wa Gombani, Pemba, Zanzibar.
Mabao ya Zanzibar Heroes yamefungwa na Ibrahim Hamad ’Hilika’  dakika ya 41 na Hassan Ali dakika ya 90’+2, wakati la Burkina Faso limefungwa na Abuobacar Traore dakika ya 69.


Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE