SASA NI SAJENTI IBRAHIM ABDALLAH HAMAD, BACCA APANDISHWA CHEO KMKM


BEKI wa Yanga, Ibrahim Abdallah Hamad ‘Bacca’ amepandishwa cheo kazini kwake, Kikosi Maalumu cha Kuzuia Magendo Zanzibar (KMKM), kutoka Koplo na kuwa Sajenti.
Hatua hiyo ya KMKM kumpandisha cheo Bacca ni taratibu za kawaida kulingana na muda na ufanisi wake kazini — huku akiendelea kufanya vyema kisoka katika klabu yake na timu ya taifa, Taifa Stars.




Comments

Popular posts from this blog

NYOTA WA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINALI KOMBE LA CAF 1993, DAMIAN KIMTI AFARIKI DUNIA