AZAM FC YAUMALIZA MWENDO KOMBE LA MAPINDUZI


TIMU ya JKU imefanikiwa kuingia Fainali ya Kombe la Muungano baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Azam FC usiku wa leo Uwanja wa Gombani, Pemba.
Mabao ya JKU yamefungwa na Neva Adelin dakika ya 50 na Freddy Suleiman dakika ya 80, wakati bao pekee la Azam FC limefungwa na beki Mcolombia, Yeison Fuentes dakika ya 15.
JKU sasa itasubiri mshindi wa Nusu Fainali ya kesho Kati ya Yanga na Zimamoto kukutana naye katika Fainali Mei 1.


Comments

Popular posts from this blog

NYOTA WA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINALI KOMBE LA CAF 1993, DAMIAN KIMTI AFARIKI DUNIA