MILOUD HAMDI KOCHA BORA, KIPAGWILE MCHEZAJI BORA LIGI KUU APRILI



KOCHA wa Yanga, Mualgeria Miloud Hamdi ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kwa mwezi Aprili, huku winga Iddi Bahati Kipagwile akishinda Tuzo ya Mchezaji Bora.



Comments

Popular posts from this blog

NYOTA WA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINALI KOMBE LA CAF 1993, DAMIAN KIMTI AFARIKI DUNIA