Posts
SIMBA SC 3-1 BIASHARA UNITED (LIGI KUU TANZANIA BARA)
- Get link
- X
- Other Apps
LEVANTE YAICHAPA REAL MADRID 1-0 NA KUIONDOA KILELENI LA LIGA
- Get link
- X
- Other Apps

TYSON FURY AMTWANGA WILDER KWA TKO RAUNDI YA SABA NA KUTWAA TAJI LA WBC
- Get link
- X
- Other Apps

Bondia Mmarekani, Deontay Wilder (kulia) akiwa ameketi chini baada ya kuangushwa Muingereza, Tyson Fury (kushoto) katika pambano la ngumi za kulipwa la uzito wa juu asubuhi ya leo ukumbi wa MGM Grand Jijini Las Vegas, Marekani. Gypsy King alimuangusha mara mbili Bronze Bomber kabla ya wasaidizi wake kurusha taulo ulingoni raundi ya saba kumnusuru na kipigo zaidi hivyo Fury kutwaa taji la WBC kwa ushindi wa Technical Knockout (TKO) PICHA ZAIDI GONGA HAPA
JESUS APIGA BAO PEKEE MAN CTY YAICHAPA LEICESTR 1-0 KING POWER
- Get link
- X
- Other Apps

Gabriel Jesus (kushoto) akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao pekee dakika ya 80 ikiilaza Leicester City 1-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa King Power leo. Sergio Aguero alikosa penalti iliyookolewa na Kasper Schmeichel, wakati Leicester walilalamika kunyimwa penalti mbili PICHA ZAIDI GONGA HAPA