BRAZIL HATARINI KUMKOSA NEYMAR MECHI NA BOLIVIA COPA AMERICA

Neymar akifanya mazoezi peke yake Gym baada ya kuumia Jumanne kwenye kambi ya Brazil huko Granja Comary nje kidogo ya Jiji la Rio de Janeiro kujiandaa na michuano ya Copa America inayotarajiwa kuanza Juni 14 Brazil ikimenyana na Bolivia mjini Sao Paulo 


Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE