LIVERPOOL YAICHAPA SPURS 2-1 ANFIELD, SASA YAIZIDI POINTI SITA MAN CITY

Mshambuliaji Mmisri, Mohamed Salah akimrukia Nahodha wake, kiungo Jordan Henderson kushangilia naye baada ya wote kufunga katika ushindi wa 2-1 wa Liverpool dhidi ya Tottenham Hotspur kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield.  Henderson alifunga la kwanza dakika ya 52 na Sakah la pili kwa penalti dakika ya 75, wakati bao pekee la Spurs limefungwa na Harry Kane sekunde ya 40 na kwa ushindi huo Liverpool imefikisha pointi 28 katika mchezo wa 10 sasa ikiwazidi pointi mbili mabingwa watetezi, Manchester City 




Comments

Popular posts from this blog

NYOTA WA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINALI KOMBE LA CAF 1993, DAMIAN KIMTI AFARIKI DUNIA