TIMU YA WAKONGWE, TANZANIA STARS ILIYOSHIRIKI KOMBE LA WASHINDI AFRIKA 1999

Kikosi cha Tanzania Stars kabla ya mchezo wa marudiano Raundi ya kwanza Kombe la Washindi Afrika dhidi ya wenyeji, Simba FC Uwanja wa Nakivubo mjini Kampala, Uganda.   Simba FC ilishinda 2-1 na kusonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 3-2 baada ya sare ya 1-1 Dar es Salaam kwenye mchezo wa kwanza. 
Kutoka kulia waliosimama ni Edward Chumila, Monja Liseki, George Lucas, Issa Manofu, Mliberia, William Fahnbullah na Yussuf Macho. Waliopiga magoti kutoka kulia ni Thabit Bushako, Mtwa Kihwelo, Abubakar Kombo, Sanifu Lazaro na Twaha Hamidu.


Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE

KYLLIAN MBAPPE NDIYE MFALME MPYA WA MABAO HISPANIA

PEDRO AIPOKONYA TONGE MDOMONI INTER MILAN, 2-2 NA LAZIO