ERASTO NYONI AMKABIDHI JEZI MPYA DOGO ALIYEANDIKA JINA LAKE KWENYE FULANA CHAKAVU

Beki wa Simba SC, Erasto Edward Nyoni akimkabidhi zawadi ya jezi na bukta shabiki wake  kijana mdogo, Jumanne Ulimwengu ambaye wiki kadhaa zilizopita alionyeshwa Azam TV akiwa na fulana iliyoandikwa jina la mchezaji huyo anayemudu kucheza nafasi za kiungo pia.

Baada ya kumkabidhi jezi, mtoto Jumanne amemuomba Nyoni kumnunulia baiskeli ili aitumie wakati wa kwenda shule na Nyoni ameahidi kumnunulia baiskeli hiyo


Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE

KYLLIAN MBAPPE NDIYE MFALME MPYA WA MABAO HISPANIA

PEDRO AIPOKONYA TONGE MDOMONI INTER MILAN, 2-2 NA LAZIO