AFISA HABARI WA YANGA SC, HASSAN BUMBULI AFUNGIWA MIAKA MITATU KUJIBUSISHA NA SOKA NDANI NA NJE YA NCHI
AFISA Habari wa klabu ya Yanga, Hassan Bumbuli amefungiwa kujishughulisha na soka ndani na nje ya nchi kwa kipindi cha miaka mitatu kwa tuhuma za kutotii uamuzi wa Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
Comments
Post a Comment