LEWANDOWSKI APIGA MBILI BAYERN MUNICH YASHINDA 5-1


MSHAMBULIAJI Robert Lewandowski jana amefunga mabao mawili, Bayern Munich ikiibuka na ushindi wa 5-1 dhidi ya FC Cologne katika mchezo wa Bundesliga Uwanja wa Allianz Arena Jijini Munich – na sasa wanaongoza kwa ponti mbili zaidi ya RB Leipzig (52-50) baada ya mechi 23 kwa wote.
Mpoland huyo akifikisha mabao 28 – huku mabao mengine ya Bavarian yakifungwa na Serge Gnabry aliyetokea benchi mawili pia na lingine Eric Maxim Choupo-Moting na la kufutia machozi la Cologne lilifungwa na Ellyes Skhiri 



Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE

KYLLIAN MBAPPE NDIYE MFALME MPYA WA MABAO HISPANIA

PEDRO AIPOKONYA TONGE MDOMONI INTER MILAN, 2-2 NA LAZIO