TANZANIA YATWAA UBINGWA WA CECAFA CHALLENGE U23 BAADA YA KUIPIGA BURUNDI KWA PENALTI 6-5 KUFUATIA SARE YA 0-0 LEO ETHIOPIA


TANZANIA imetwaa Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati kwa vijana chini ya umri wa miaka 23 baada ya ushindi wa penalti 6-5 kufuatia sare ya 0-0 na Burundi leo Uwanja wa Bahir Dar, Jijini Bahir Dar, Ethiopia.
Sudan Kusini imemaliza nafasi ya tatu baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Kenya jana hapo hapo Bahir Dar.


Comments

Popular posts from this blog

NYOTA WA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOFIKA FAINALI KOMBE LA CAF 1993, DAMIAN KIMTI AFARIKI DUNIA