MAYELE AIPELEKA YANGA 16 BORA KOMBE LA TFF


VIGOGO. Yanga SC wamefanikiwa kutinga Hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Mbao FC Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza jioni ya leo.
Bao pekee la Yanga leo limefungwa na mshambuliaji wake tegemeo, Mkongo Fiston Kalala Mayele dakika ya 54 kwa kichwa akimalizia krosi maridadi ya kiungo  mzawa, Farid Mussa Malik kutoka kulia.


Comments

Popular posts from this blog

SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE

KYLLIAN MBAPPE NDIYE MFALME MPYA WA MABAO HISPANIA

PEDRO AIPOKONYA TONGE MDOMONI INTER MILAN, 2-2 NA LAZIO